Featured

    Featured Posts

MBUNGE TADAYO ATAJA MAMBO MUHIMU MATATU ALIYOTUACHIA JPM, IMANI YAKE KWA RAIS SAMIA


 MBUNGE wa Jimbo la Mwanga, Joseph Tadayo ameelezea mambo mengi mazuri ya kimaendeleo aliyoyafanya kwa kipindi kifupi kwa mafanikio makubwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Magufuli na kuwataka watanzania waendelee kumuenzi. Lakini pia ametaja sifa kuu tatu alikuwa nazo kuwa ni; Kujitoa, uwezo wa kuona mbali na alikuwa na uthubutu pamoja na ujasiri.

Pia Tadayo ameelezea imani yake kwa Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwamba ataendeleza na kuyakamilisha yote mazuri waliyoyapanga akiwa Makamu wa Rais, ikiwemo miradi ya kimkakati pamoja na utulivu, amani na mshikamamno na kuendelea kupanga mipango zaidi kwa lengo la kuliletea Taifa Maendeleo.Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video Mbunge Tadayo akielezea mambo ya kumuenzi Hayati Dk. Magufuli yakiwemo mambo muhimu matatu aliyotuachia na Imani yake kwa Rais Samia.....
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana