Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA ATUA JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA DODOMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge na viongozi wengine baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo alasiri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo alasiri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Wilaya katika Jiji la Dar es Salaam baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo alasiri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akienda kupanda gari baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo alasiri
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana