Featured

    Featured Posts

CHONGOLO AAHIDI KUZIFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA WANA MUFINDI

 



Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akizungumza wakati wa kikao cha kusikiliza kero kutoka kwa makundi mbalimbali siku ya kwanza ya ziara ya kukihuisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM .

Baadhi ya kero zilizotawala katika kikao hicho ni miundo mibovu ya barabara na kupanda kwa bei ya miti ya mbao hasa katika mashamba ya serikali wilayani humo, mambo ambayo Chongolo aliahidi baadhi kuyatafutia ufumbuzi.


Mkutano huo wa ndani uliofanyika usiku mjini Mafinga Mei 26, 2023,  ulihufhuriwa na viongozi wa dini, wazee wa kimila na wafanyabiashara.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mufindi, Yassin Daud akiongoza kikao hicho.
Baadhi ya makundi yaliyohudhuria kikao hicho.



Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria kikao hicho.

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana