Featured

    Featured Posts

CHONGOLO ASHIRIKI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA SEKONDARI IFUNDA WASICHANA

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akishirfiki kuchanganya saruji na mchanga kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa matatu, bweni na vyoo alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana cha Ifunda, Jimbo la Kalenga  Iringa vijijini Mei 29, 2023.

Chongolo aliahidi kusaidia vitanda 50 kwa ajili ya bweni hiloambapo pia aliendesha harambee ya kusaidia kukamilisha ujenzi huo.anaendelea na 

Chongolo anaendelea na ziara ya siku 7 ya kuhimiza uhai wa shama kuanzia ngazi ya shina, kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi , Sophia Mjema na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Issa Haji Gavu


Msingi wa vyumba vya madarasa.


 Chongolo akitembelea shule hiyo


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana