Featured

    Featured Posts

CHONGOLO AUNGURUMA KWA BALOZI SHINA NAMBA 27 NYORORO, MUFINDI



 


Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akihutubia alipofanya mkutano kwa Balozi wa Shina namba 27 Wilbert Msewa eneo la Nyororo, Mufindi  mkoani Iringa.

Chongolo  yupo katika ziara ya siku 7 ya kukihuisha Chama na kukagua utek,sa na Uenezi elezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM wilayani Mufindi.

Katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa NEC Siasa na Uenezi, Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni. Issa Haji Gavu.


 PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana