Featured

    Featured Posts

CHONGOLO: KAZI YA KUONGOZA NCHI NI NZITO, NGUMU+video

 


 Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo amesema kuwa ilani ya CCM yenye kurasa zaidi ya 300 ina mambo muhimu sana, Kazi ya kuongoza nchi siyo ya lelemama, ni kazi nzito, ngumu, ina wajibu hivyo inatakiwa kukaa mguu sawa kuhakikisha mambo yanaenda vizuri,Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia katika katika kikao na mwenyekiti wa shina namba 4, Deodatha Msasa katika jimbo la Kalenga Iringa Vijijini Mei 29,2023.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana