Featured

    Featured Posts

MJEMA AHIMIZA KUSOMESHA WATOTO, KUJIKINGA NA UKIMWI, KUHIFADHI VYAKULA+video


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema amewataka wananchi kujenga tabia ya kuwasomesha watoto, kujikinga na maradhi yanayosababishwa na ngono zembe ikiwemo UKIMWI pamoja na kuhifadhi chakula. Ameyasema hayo alipomuwa akihutubia wananchi akatika mkikutano mbalimbali wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo wilayani Mufindi, Iringa Mei28, 2023. Lengo la ziara hiyo ya siku ni kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kuhimiza uhai wa chama ngazi ya shina na kutatua kero za wananchi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mjema akisisitiza mambo hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana