Featured

    Featured Posts

M-NEC HAMOUD JUMAA KUNGURUMA KESHO KATIKA ZIARA PWANI, KESHOKUTWA DAR

Na Blog ya Taifa ya CCM (CCM Blog)

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na pia Mbunge Mstaafu wa Kibaha Vijijini Hamoud Abou Jumaa, kesho Alhamisi ataanza ziara katika mkoa wa Pwani kuimarisha uhai wa Chama na utekelezaji Ilani ya CCM.

Taarifa aliyotoa imesema, ziara hiyo itaanzia Mlandizi, Kibaha Vijijini na baada ya ziara hiyo keshokutwa Ijumaa, Julai 9, ataendelea na ziara hiyo katika mkoa wa Dar es Salaam, kwa lengo hilohilo la kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani pia ya Chama.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na pia Mbunge Mstaafu wa Kibaha Vijijini Hamoud Abou Jumaa
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana