Featured

    Featured Posts

MWANYIKA ATAKA SEKTA YA MISITU IPAISHWE+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amechangia mambo makubwa kwa sekta ya misitu kuongezea thamani Ili zipatikane ajira, kuongezeka kipato kwa wazalishaji na Kodi kwa serikali Pamoja na mambo mengine ametoa ushauri wake huo akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni Dodoma Juni 5, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akielezea umuhimu wa sekta hiyo ya misitu...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana