
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Makampuni wa wakala hiyo, Harvey Kombe (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Mawakili Kanda ya Dodoma (TLS) wakiwa wamesimama kwa dakika moja ikiwa ni heshima ya kuwakumbuka walioathirika na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni mkoani Manyara kiasi cha kupoteza uhai wa watu.
Tukio hilo limefanyika leo wakati DC Shekimweri akifungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule Semina kwa mawakili kuhusu dhana ya wamiliki manufaa wa kampuni na majina ya biashara jijini Dodoma Desemba 5, 2023.
Baadhi ya mawakili wakiwa wameinama ikiwa ni ishara ya kuomboleza kwa waliokufa pamoja na kuwakumbuka waathirika wa mafuriko hayo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment