RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Michoro wa Majengo inayotarajiwa kujengwa katika eneo la Bungi Kwa Bihole sehemu ya historia,Wilaya ya Kati Unguja, wakati wa mkutano wake na Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,Uongozi wa Kamisheni ya Utalii na Makamishna ya Kamisheni ya Utalii Zanzibar, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo,30-3-2019
RAIS wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,Uongozi wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akichangia Mada wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu Zanzibar kulia Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.
MWANASHERIA Mkuu Mhe. Said Hassan Said na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Khamis Mussa wakiwa na Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
MAKAMISHNA wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano huo uliofanyika leo 30-3-2019,Ikulu Zanzibar kuzungumzia masuala ya Utalii Zanzibar.
KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Khamis Mussa akizungumza wakati wa mkutano huo, kulia Mwanasheria Mkuu Mhe. Said Hassan Said na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Zanzibar Ndg Salum Maulid, wakifuatilia mkutano huo uliofanyika Ikulu leo 30-3-2019
KATIBU Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Abdallah Mohammed Juma, akizungumza wakati wa mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika Ikulu Zanzibar, kulia Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt, Amina Ameir Issa na Katibu Mkuu Bi. Khadija Bakari wakifuatilia mkutano huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bi. Sabaah Saleh na kulia Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Mwenasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Makatibu Wakuu na Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Post a Comment