Featured

    Featured Posts

MAMA JANETH MAGUFULI AKIWA NA MGENI WAKE MKE WA RAIS RAMAPHOSA IKULU DAR ES SALAAM.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulujijini Dar es Salaam.
Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. TshepoMotsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulujijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Afrika KusiniDkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa kushoto akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kupokea zawadi ya picha Ikulujijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © 2025 Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana