Kocha Mkuu wa Simba SC, Mbelgiji Patrick Aussems (kulia) akikabidhi zawadi kwa uongozi wa hospitali ya Ocean Road mjini Dar es Salaam, zoezi la hisani la klabu hiyo kueleka kilele cha wiki ya Simba, Simba Day Jumanne wiki ijayo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam ambako klabu itamenyana na Power Dynamos ya Zambia





Post a Comment