Featured

    Featured Posts

SPIKA NDUGAI AFUNGUA MKUTANO WA WABUNGE KUTOKA BARA LA ASIA NA AFRIKA UNAOHUSU MASUALA YA IDADI YA WATU NA MAENDELEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifungua Mkutano wa Wabunge kutoka Bara la Afrika na Asia unaohusu masuala ya Idadi ya watu na Maendeleo katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam,

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifungua Mkutano wa Wabunge kutoka Bara la Afrika na Asia unaohusu masuala ya Idadi ya watu na Maendeleo katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Wabunge kutoka Bunge la India mara baada ya kufungua wa Mkutano wa Wabunge kutoka Bara la Afrika na Asia unaohusu masuala ya Idadi ya watu na Maendeleo katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Japan nchini, Shinichi Goto wakati wa Mkutano wa Wabunge kutoka Bara la Afrika na Asia unaohusu masuala ya Idadi ya watu na Maendeleo katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati ya waliokaa) katika picha ya pamoja na Wabunge kutoka Bara la Asia na Afrika mara baada ya kufungua  Mkutano uliowakutanisha Wabunge hao unaohusu masuala ya Idadi ya watu na Maendeleo katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA BUNGE)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana