Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (hawapo pichani) wakati alipoenda kufungua Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Zanzibar, Tanzania. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika wakati wa Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Zanzibar, Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Zanzibar, Tanzania, Kulia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid
Post a Comment