Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Justin Muturi (kulia) akimkabidhi zawadi aliyekuwa Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Demetrius Mgalami kwa utumishi uliotukuka na mchango wake wa maendeleo kwa jumuiya hiyo, baada ya kufunga Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika leo katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
SPIKA MUTURI AKABIDHI ZAWADI YA CPA KANDA YA AFRIKA VISIWANI ZANZIBAR

Post a Comment