katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, katika ufunguzi wa Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga katika picha ya pamoja na baadhi
ya viongozi na Watumishi wa BarazalaTaifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi katika Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya
kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (aliye vaa suti nyeusi) akimsikiliza mmoja wa wanufaika wa mikopo kutoka SIDO katika ufunguzi wa Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (kushoto) akizungumza jambo na Afisa Uhusiano Mkuu wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC), Bw. Edward Kessy (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga(mwenye suti nyeusi) akiangalia bidhaa za wajasiriamli kutoka mikoa ya Tabora na Dodoma wakati alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Afisa Biashara wa Taasisi ya Private Agricultural Sector Support (PASS) Kanda ya Ziwa, Faustine Mungo akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (kushoto) alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Festo Kiswaga ametoa wito kwa Mifuko na programu
za uwezeshaji wananchi kuangalia jinsi ya kuwezesha wananchi wengi zaidi kupata mitaji ya kuanzisha viwanda, ili uchumi wa nchi ukue na kupunguza changamoto zinazokabili jamii.
Kiswaga ameyasema wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka
katika uzinduzi wa Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, uliofanyika Oktoba 16, 2019 katika Uwanja wa Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu.
“Sote tunafahamu kwamba Tanzania inalenga kufikia uchumi wa katika ifikapo mwaka 2025
na viwanda ni nyenzo itakayowezesha nchi kufika huko; viwanda vina mchango mkubwa sana katika kukuza uchumi wa nchi kwa kuwa vinanufaisha jamii kwa kutoa ajira, kulipa
kodi, kununua malighafi kutoka kwa wakulima na mengine mengi,” alisema Kiswaga.
Aidha, Kiswaga alitoa wito kwa wananchi wa mikoa ya kanda ya ziwa na maeneo mbalimbali
nchini kufika katika maonesho haya kupata maelezo kutoka kwa wawakilishi wa Mifuko na programu za uwezeshaji za Serikali, kuonesha bidhaa, kunua bidhaa za
wajasiriamali na kupata uelewa wa masuala ya uwezeshaji wananchi.
Naye Afisa Maendeleo ya Biashara wa Taasisi ya kusaidia sekta binafsi na Kilimo,
(PASS) Kanda ya Ziwa, Faustine Mungo amesema wameandaa mpango mkakati wa miaka
mitano ambapo wanatarajia kutoa ajira 700,000 ambao unatarajia kuzifikia familia
zaidi ya 200,000.
Kaimu Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Ushiriki wa Watanzania katika Uwekezaji, Bi.Esther Mmbaga kutoka Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi(NEEC), amesema malengo ya maonesho haya ni pamoja na kukuza uelewa wa wananchi kuhusu uwepo, majukumu na vigezo katika kutoa huduma za mikopo na programu za uwezeshaji.
Bi. Mmbaga ameongeza kuwa malengo mengine ni kuhamasisha wananchi ili waweze
kunufaika na fursa zilizopo katika mifuko na programu za uwezeshaji na kuhamasisha
wananchi kujenga utamaduni wa kuweka akiba na kuwekeza katika miradi yenye tija.
Maonesho ya tatu ya Mifuko na programu za uwezeshaji na vikundi vya kifedha vya kijamii, yenye Kauli Mbiu “Mitaji ni Chachu ya Kujenga Uchumi wa Viwanda”ambayo
yanaendelea katika uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi yanatarajiwa kufungwa rasmi
Oktoba 20, 2019

Post a Comment