Featured

    Featured Posts

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Umati wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatuhutubia katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa
Sehemu ya Wananchi wa Sumbawanga waliohudhuria mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuwahutubia katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa. PICHA NA IKULU


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana