Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Tombe Magufuli, akiongea kwa simu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro na kumuagiza kumsimamisha kazi mara moja Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Sumbawanga ACP Polycarp Urio kwa kutowasilisha taarifa kwa Mkuu wa
Polisi wa Mkoa wa Rukwa maelekezo ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ambaye hivi karibuni aliagiza kuhamishwa kituo cha kazi askari polisi Tisa waliokuwa wakijihusisha na vitendo vya rushwa na kuwabambikizia kesi wananchi.
Mhe. Rais alitoa matatizo hayo alipotembelea Kituo cha Polisi cha Laela mara baada ya kuzindua rasmi
Barabara ya Tunduma-Laela-Sumbawanga yenye urefu wa kilometa 223.ambayo ni sehemu ya barabara kuu katika ushoroba wa Magharibi unaoanzia Tunduma-Mpanda-Kigoma-Nyakanaz i wenye urefu wa kilometa1,286.
Polisi wa Mkoa wa Rukwa maelekezo ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ambaye hivi karibuni aliagiza kuhamishwa kituo cha kazi askari polisi Tisa waliokuwa wakijihusisha na vitendo vya rushwa na kuwabambikizia kesi wananchi.
Mhe. Rais alitoa matatizo hayo alipotembelea Kituo cha Polisi cha Laela mara baada ya kuzindua rasmi
Barabara ya Tunduma-Laela-Sumbawanga yenye urefu wa kilometa 223.ambayo ni sehemu ya barabara kuu katika ushoroba wa Magharibi unaoanzia Tunduma-Mpanda-Kigoma-Nyakanaz
Post a Comment