Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akipatiwa maelezo na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano cha Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Roida Andusamile (wa pili kulia) kuhusu shirika hilo linavyowahudumia Wajasiriamali wakati wa kilele cha Maonesho ya Baraza la Uwezeshaji la Taifa yaliyofanyika mkoani Simiyu kuanzia Oktoba 14 hadi 20 mwaka huu.

Post a Comment