Mkurugenzi wa Udhibiti ubora, wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Gervas Kaisi akihutubia kwa niaba ya Mkurugenzi wa TBS, Dk Athuman Ngenya wakati wa kumkaribisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo, Ayoub Sebabili. kufungua semina wafanyabiashara, wasindikaji na wazalishaji wa bidhaa mjini Kibondo jana. Jumla wazalishaji, wasindikaji na wafanyabiashara 98 walishiriki smina hiyo iliyohusu elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa. Pia semina kama hiyo iliyoandaliwa na TBS ilifanyika wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo, Ayoub Sebabili (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina hiyo.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo, Ayoub Sebabili (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina hiyo.
Post a Comment