Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na Watendaji wa Wizara yake katika kikao cha kujadili uboreshaji sekta ya ardhi nchini, kikao hicho kilifanyika ofisi za Wizara zilizoko Mtumba jijini Dodoma jana. Kulia kwa Waziri ni Naibu wake Dkt Angeline Mabula.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na Watendaji wa Wizara yake katika kikao cha kujadili uboreshaji sekta ya ardhi nchini, kikao hicho kilifanyika ofisi za Wizara zilizoko Mtumba jijini Dodoma jana.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dorothy Mwanyika (Kulia) na Watendaji wengine wa Wizara ya Ardhi wakimsikiliza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (Hayupo pichani) wakati wa kikao cha kujadili uboreshaji sekta ya ardhi nchini, kikao hicho kilifanyika ofisi za Wizara zilizopo Mtumba jijini Dodoma jana.
(PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)
Post a Comment