Meneja wa Utafiti na Mafunzo, Hamisi Sudi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakitoa elimu ya viwango kwa wazalishaji na wasindikaji wa bidhaa katika ukumbi wa utamaduni wilayani Kasulu -Kigoma mapema leo. Jumla ya wazalishaji 78 wamefaidika na mafunzo hayo.
Kaimu MKurugenzi wa udhibiti ubora , Gervas Kaisi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakitoa elimu ya viwango kwa wazalishaji na wasindikaji wa bidhaa katika ukumbi wa utamaduni wilayani Kasulu -Kigoma mapema leo. Jumla ya wazalishaji 78 wamefaidika na mafunzo hayo.
Sehemu ya washiriki wakiwa katika mafunzo hayo.
Post a Comment