Featured

    Featured Posts

SEMINA YA TBS KUHUSU UBORA WA VIWANGO WA VYAKULA NA VIPODOZI YARINDIMA LINDI

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Lindi,  Thomas Safari (kulia),  akifungua semina ya wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za chakula na vipodozi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Lindi leo. Kutoka kushoto ni Kaimu  Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Hamis Sudi na Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kusini wa TBS,  Ramadhan Hassan.
  Ofisa Viwango wa TBS, Fatuma Mauniko (kulia), akiwasilisha mada ya viwango kwa wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za chakula na vipodozi  katika semina iliyofanyika mjini Lindi leo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika semina hiyo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © 2025 Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana