CEDRIC SOAREA AJIUNGA NA ARSENAL
Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa beki wa kulia Cedric Soares kutoka Southampton kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.
Soares, ambaye mkataba wake na Southampton unaisha mwisho wa msimu huu anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Arsenal kwenye dirisha hili la Januari baada ya kusajili Pablo Mari kwa mkopo kutoka Flamengo.
Post a Comment