Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Mama Kate Kamba alipowasili Katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar Es Salaam leo Januari 30,2020 kwa ajili ya kuongeza kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa huo kilichokutana kujadili na na ya kuadhimishwa miaka 43 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na utatuzi wa Baadhi ya Changamoto zinazojitokeza Katika Utekelezaji wa majukumu ya Chama pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015, 2020
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani kilichojadili namna ya Kuadhimisha miaka 43 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na utatuzi wa baadhi ya Changamoto zinazojitokeza Katika Utekelezaji wa majukumu ya Chama pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015,2020.
|
Mjumbe was Kamati Kuu ya CCM, Makamu was Rais Samoa Suluhu Hassan akiwa katika oicha ya Pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM mkoa was Dar es Salaam, baada ya kikao hich |
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment