Mashua ya kivita ya jeshi la Marekani USS Bataan iliokuwa ikiratibu mazoezi na mafunzo barani Afrika imesitisha wajibu wake huo na kujielekeza Mashariki ya Kati.
Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani, mashua hiyo iliojielekeza barani Afrika Disemba kwa ajili ya mazoezi imewasili Moroko wiki iliopita.
Mashua hiyo ina wanajeshi 2100.
Ikumbukwe kwamba, jeshi la Marekani limeendesha shambulizi ambalo limepelekea kuuawa kwa jenerali wa jeshi la Iran Qassin Soleimani mjini Baghdadi.
Ayatollah Ali Khamenei ameahidi kulipiza kisasi kwa kuuawa kwa jenerali wake Qassam Soleimani.
Post a Comment