Featured

    Featured Posts

MAZOEZI YA YANGA SC KUELEKEA PAMBANO NA WATANI WA JAID, SIMBA SC JUMAMOSI UWANJA WA TAIFA


Mshambuliaji Mkongo wa Yanga SC, David Molinga 'Falcao' akiruka mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Kipa Mkenya wa Yanga SC, Farouk Shikharo akiruka mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 
Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akiruka mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 
Mshambuliaji wa Yanga SC, Ditram Nchimbi akiwa mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 
Beki wa Yanga SC, David Ally Mtoni 'Sonso' akiwa mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Patrick Sibomana akiwa mazoezini leo kujiandaa na mpambano  dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 
Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, kutoka Ivory Coast,  Yikpe Gilslain Gnamien akiwa mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 
Kiungo wa Yanga SC, Mapinduzi Balama akikokota mpira mazoezini leo kujiandaa na mpambano wa Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini Dar es
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana