Gari dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora. Ajali hiyo imetokea leo Januari 8, 2020 katika eneo la Vigunguti majira ya SAA 2:00 asubuhi ambapo Dereva wa gari dogo amekimbizwa hospitalini kwa matibabu.
Tutawaletea taarifa zaidi kadiri ya zitakavyopatikana kutoka mamlaka husika
Post a Comment