Featured

    Featured Posts

RAIS MAGUFULI AKABIDHI NYUMBA MPYA ZA MAGEREZA UKONGA DAR



 Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu baada ya utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23,

2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baada ya kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya mojawapo ya nyumba  za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga

jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
 Kaimu Shehe wa Mkoa wa Dar es salaam akiomba dua kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

 Baba Paroko wa Parokia ya Ukonga akimwaga maji baraka kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

Mchungaji kutoka KKKT akiongoza sala kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

 Kundi la Utamaduni la JKT likitumbuiza kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

 Magereza Jazz Band "Wana Mkote Ngoma" kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa dini baada ya  kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam

kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana