Featured

    Featured Posts

TUGHE MKOA WA ILALA YAWAPONGEZA WASTAAFU WA CHAMA HICHO TAWI LA HOSPITALI YA RUFAA AMANA

 Mmoja wa Wafanyakazi  Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana. Tawi la TUGHE (jina halikupatikana maramoja) akiongoza kwa Sala fupi kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)








 Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es salaam Mziwanda Chimwege (waliokaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
 Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es salaam Mziwanda Chimwege (wa tatu kulia) akiwa na Baadhi ya Viongozi katika Picha ya Pamoja wakati wa kuwapongeza Wastaafu Watatu wa TUGHE Tawi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala ya Amana. 

Wanachama TUGHE Tawi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana wakiimba wimbo wa Chama hicho. wakati wa kuwapongeza Wastaafu Watatu wa Chama hicho Tawi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala ya Amana.

Baadhi ya Wastaafu Hospitali ya Rufaa Amana wakiwa katika picha ya pamoja na wapendwa wao, kuanzia kushoto ni Dakt, Mkiwa Mhina kutoka Idara ya mama na mtoto, wapili kulia ni Amiri Msitu ni Afisa Muuguzi Kitengo cha Mapokezi na watatu kushoto ni Afisa Muunguzi Idara ya Mionzi, Luiza Millanzi

 Wakisakatarumba 

 Katibu TUGHE Mkoa wa Ilala Bi, Tabu Mambo (kushoto) akigonganisha glasi na wanachama wa chama hicho wakati wa kuwapongeza Wastaafu wa TUGHE Tawi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana.
 Afisa Muunguzi Idara ya Mionzi Luiza Millanzi (kushoto) akigonganisha glasi yenye kinywaji cha shampeni na mmoja wa wafanyakazi hao wakati walipokuwa wakiwapongeza wastaafu hao wa Tawi la TUGHE Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana.
 Dakt, Mkiwa Mhina (kushoto) kutoka Idara ya mama na mtoto akimlisha kipande cha keki Mwenyekiti Kamati ya Wanawake TUGHE Taifa na Mwenyekiti Tawi la Amana, Dkt. Jane Madete. Anaye shuhudia kulia ni Mdhamini wa chama hicho Dkt. Yonah Mabela
 Baadhi ya wa wafanyakazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana Tawi la TUGHE wakimkabidhi zawadi moja ya zawadi zilizotolewa na Kamati ya Taiwi hilo Dakt, Mkiwa Mhina (mwenyekitambaa cheupe kichwani) kutoka Idara ya mama na mtoto
 Mdhamini wa chama hicho Dkt. Yonah Mabela akitoa utambulisho  
  Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es salaam Mziwanda Chimwege (kushoto) akimpongeza Mmoja wa wastaafu hao, Amiri Msitu aliyekuwa Afisa Muuguzi Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana Tawi la TUGHE. Kuanzia kulia ni mtaafu Dakt, Mkiwa Mhina kutoka Idara ya mama na mtoto na Katibu TUGHE Mkoa wa Ilala Bi, Tabu Mambo. 

 Baadhi ya Wafanyakazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana wakipiga makofi wakati Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es salaam Mziwanda Chimwege alipokuwa akiingia Ukumbini ambaye alikuwa mgeni rasmi. 
Afisa Elimu Kazi na Mratibu wa Jinsia TUGHE Nsubisi Mwasandende (kulia) akiendesha hafla hiyo na kushoto ni baadhi ya wanachama wa Tawi la Chama hicho Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala Amana
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana