Featured

    Featured Posts

ASKARI WATATU WAFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA



  Askari watatu wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwemo gari la polisi ambalo lilikuwa likipeleka askari Lindoni.

RPC Njombe Hamis Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana