Featured

    Featured Posts

HUU NDIO MSIMU WA KILIMO CHA PARACHICHI HUJACHELEWA NJOO UJIUNGE

Ndugu Mtanzania mpenda Kilimo, tunapenda kukueleza kuwa zao la Parachichi hivi sasa ni KIINUA MGONGO CHA MILELE, hivyo wajanja wa Kilimo wanakimbilia kuwekeza kwenye zao hilo ambalo kwa hivi sasa limekuwa mkombozi, kwani ukilima kwa njia ya kisasa heka moja yenye miche 100 unaweza kutia kibindoni zaidi ya sh. mil. 10 kwa mwaka wa kwanza wa mavuno na sh. Mil. 15 hadi 20 kwa mwaka wa pili wa mavuno na kuendelea.
.
Kampuni ya Esemwa Business Solutions LTD, inakaribisha wadau wanaopenda kuwekeza katika shamba la pamoja (Block Farm) lilililopo Njombe litakalosimamiwa kitalaamu na watalaaamu wa kilimo wazoefu kwa lengo la kupata mavuno mazuri na yaliyo bora kwa ajili ya soko la nje.

Ukitoa sh. Mil. 3 zitakuwezesha kumiliki hisa za heka moja ya shamba ambapo hakuna haja ya wewe kushiriki kulisimamia, bali fedha hizo zitatumika kugharamia maandalizi ya shamba (kufyeka, kulima na kuchimba mashimo kununua miche, kupanda na usimamizi wa shamba kwa muda wa miaka mitatu mavuno ya kwanza yatakapoanza.
Mti mmoja wa Parachichi huzaa kati ya kilo 50 hadi 300 kwa msimu.
Bei ya kilo moja kwa sasa ni 1,500
Soko la uhakika lipo na litaendelea kuwepo kwani kuna kampuni zaidi ya nne za kimataifa zinazonunua zao hilo.
Pia tunaruhusu kwa watu wenye kipato cha chini kuwekeza ;
Robo heka sh. mil moja-wakati wa mavuno atapata sh. mil 3 hadi mil. 5.
Nusu heka sh. mil.2- wakati wa mapato atapata kati sh. mil. 6 na 7.
NB; MTI WA PARACHICHI UNADUMU ZAIDI YA MIAKA 60, HIVYO NI KIINUA MGONGO CHAKO CHA UHAKIKA NA URITHI WA KIZAZI NA KIZAZI.
Mawasiliano; Richard-0715264202,0754264203, 0689425467, Essau 0754496511
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana