Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Masoud Juma Hussein ambaye anatambuliwa kuwa ndiye mtu mfupi zaidi Duniani kuweka rekodi ya Dunia yaani Guinness World Records, kwa kupanda Mlima Kilimanjaro, mgeni huyo alipotembelea Bungeni leo kushuhudia Kikao cha nane cha Mkutano wa 14 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mwaliko aliopewa na Waziri Dk. Kigwangalla.
Masou Juma Hussein alifika Bungeni akifuatana na Meneja wake Samwel Malugu na Msaidizi wake Edward Hugolin Shirima (hawapo Pichani)

Post a Comment