Baada ya mapori ya akiba ya Biharamulo na Chato kupandishwa hadhi na kuwa hifadhi ya Taifa ya Burigi chato sasa hifadhi ya taifa TANAPA ilianza mchakato wa kuhifadhi mapoli hayo na kuhakikisha yanakuwa hifadhi nzuri za kuvutia watalii kwa kuhakikisha wanarudisha wanyama wote walikuwa wametoweka katika hifadhi hiyo
Post a Comment