Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik Choughule (wa katikati) akiwa na viongozi wa Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kivukoni, kukabidhi vifaa na sabuni kwa ajili kuosha mikono kujilinda na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona, ambapo tuliwapa madereva wa bajaji walemavu wa kituo cha feri.
Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik Choughule (wa pili kushoto) akiwa na viongozi wenzake kutoka Ofisa ya Mtendaji wa Kata ya Kivukoni, Remmy Mishekhe na Ofisa Afya Kata ya Kivukoni Siriero Kileo na Katibu wa CCM Kata ya Kivukoni, Said Mwanga kwa lengo la kukabidhi vifaa na sabuni kwa ajili kuosha mikono kujilinda na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona
Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik Choughule akiosha mikono yake vizuri kwa umkini mkubwa mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo leo Machi 23, 2020.
Post a Comment