Featured

    Featured Posts

MADAKTARI BINGWA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KATIKA VITUO VYA AFYA MANISPAA YA UBUNGO

Daktari Bingwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza Dk. Lucy Shirima akimhudumia mwananchi aliyefika kwenye Zahanati ya Kimara ili mtoto wake afanyiwe uchunguzi na kupatiwa matibabu, leo, Wakati Madaktari Bingwa wa Manispaa ya Ubungo walipoanza kutoa huduma bure katika Zahanati hiyo.

UBUNGO, Dar es Salaam
Manispaa ya Ubungo leo imeendelea kutoa huduma za afya kwa kutumia Madaktari Bingwa waliopo katika Manispaa ambapo leo madaktari hao wameanza kutoa huduma katika  kituo cha Afya Kimara.

Huduma hizo ambazo ni bure zitakazodumu kwa wiki moja, zinahsu magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake hasa hahusuyo uzazi na upasuaji.

Sambamba na hilo mratibu wa Bima wa Wilaya Leticia Meena ameendelea na kazi ya kuhamasisha wananchi wa Wilaya ya Ubungo kujiunga na Bima ya Afya iliyoboreshwa (CHF) ili kuweza kupata urahisi wa matibabu. 
 Daktari Bingwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza Dk. Lucy Shirima akimhudumia mwananchi aliyefika kwenye Zahanati ya Kimara ili mtoto wake afanyiwe uchunguzi na kupatiwa matibabu, leo
 Daktari Bingwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza Dk. Lucy Shirima akimhudumia mwananchi aliyefika kwenye Zahanati ya Kimara ili mtoto wake afanyiwe uchunguzi na kupatiwa matibabu, leo
 Daktari Bingwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza Dk. Lucy Shirima akimhudumia mwananchi aliyefika kwenye Zahanati ya Kimara ili mtoto wake afanyiwe uchunguzi na kupatiwa matibabu, leo, Wakati Madaktari Bingwa wa Manispaa ya Ubungo walipoanza kutoa huduma bure katika Zahanati hiyo.
 Mwananchi akiandika maelezo mbele ya Madaktari Bingwa wa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza Wakati Madaktari Bingwa wa Manispaa ya Ubungo walipoanza kutoa huduma bure katika Zahanati hiyo.leo
 Daktari akimhoji mwananchi aliyefika kupata huduma katika Zahanati ya Kimara
 Daktari akimpima mwananchi aliyefika kupata huduma bure kwa madaktari hao Bingwa
 Mratibu wa Bima ya Matibabu wa Wilaya ya Ubungo, Leticia Meena akiwahamasisha wananchi wa Wilaya ya Ubungo kujiunga na Bima ya Afya iliyoboreshwa (CHF) ili kuweza kupata urahisi wa matibabu, alipokuwa kwenye Zahanati ya Kimara, leo
 Wananchi wakisubiri kuhudumiwa kwenye Zahanati ya Kimara leo
 Mganga Mfawidhi wa Wilaya ya Ubungo Dk. Dickson Masale akiwa ofisini kuratibu huduma za Madaktari Bingwa hao 
Zahanati ya Kimara.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana