Nahodha huyo wa Tanzania ameanza katika kikosi cha kwanza cha Aston Villa na kazi yao ni moja tu.... kuhakikisha wanawazuia Manchester City kutetea ubingwa wake wa Kombe la Carabao.
Villa mara ya mwisho kutwaa ubingwa ilikuwa msimu wa 1995/96 .
Mechi ni Mapumziko; Manchester City inaongoza 2-1 dhidi ya Aston Villa.
Post a Comment