Featured

    Featured Posts

WATU 11,000 WALIOAMBUKIZWA CORONA IRAN WAPATA NAFUU

Kianoush Jahanpour, Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran akizungumza Jumamosi na waandishi habari alisema: "Hadi sasa watu 35,408 nchini Iran wameambukizwa corona. Aidha ameongeza kuwa, hadi sasa idadi ya waliofariki kutokana na virusi hivyo kufikia adhuhuri ya Jumatano ilikuwa watu 2,517.
Ugonjwa wa COVID-19 uliibukia  nchini China katika mji wa Wuhan mnamo Disemba 2019. Hivi sasa ugonjwa huo umeenea katika karibu nchi zote duniani.
Hadi kufikia sasa watu zaidi ya 606,000 wameambukizwa virusi vya COVID-19 duniani, wengi wao wakiwa nchini Marekani na walioaga dunia ni 30,880 wengi wao wakiwa nchini Italia.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana