Featured

    Featured Posts

MARIN HASSAN MARIN

Aliyekuwa mtangazaji nguli wa Shirika la  Utangazaji Tanzania (TBC) Marin Hasan Marin amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Mkurugenzi wa Shirika hilo la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba amesema kifo cha Marin Hassan Marin kicmetokea leo asubuhi katika Hospitali ya Jeshi  Lugalo, jijini Dar es Salaam.


Amesema taarifa  zaidi juu ya kifo cha Marin zitaendelea kutolewa na uongozi wa TBC.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana