Wagonjwa wa corona waliowekwa karantini katika hospitali ya Amana wamelazimisha kuachiwa na kuruhusiwa kurudi majumbani mwao.
Mkuu wa wilaya wa Ilala, Sophia Mjema athibitisha na kusema kuwa kuna baadhi ya wathirika wa CoronaVirus walikuwa kwenye kituo maalum katika Hospitali ya Amana walikuwa wakilazimisha kurudi makwao wakidai wanajisikia vizuri.
Na zile taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wagonjwa hao wanadaiwa kuondoka kwa kukimbia na kupanda daladala, Mjema amesema wanafuatilia iwapo ni kweli wametoroka.
Na zile taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wagonjwa hao wanadaiwa kuondoka kwa kukimbia na kupanda daladala, Mjema amesema wanafuatilia iwapo ni kweli wametoroka.
Post a Comment