ASKARI AKIMDHIBITI ABIRIA
Askari aliyekuwa zam Kituo cha Mwendokasi Muhimbili akimtuliza abiri aliyekuwa akidai kusogea pembeni kidogo baada ya kujisahu kuteremka katika kituo cha Faya nakujikuta kufika Muhimbili (MNH) na alipoomba aweze kurudishwa Faya alikataliwa na kuteremshwa na kupelekwa Kituo cha Polisi. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Post a Comment