Featured

    Featured Posts

MATAIFA 6 YAFUATA NYAYO ZA JPM MAAMUZI KUHUSU CORONA



Mfikishieni Zitto kabwe hii 😁😁
Nimeona baada ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzanian Mh. Magufuli kutangaza kufungua Vyuo , na MICHEZO Zitto kabwe anasema Tanzania ni nchi inayoendeshwa kama gari bovu, namwambia Zitto najua anaziona taarifa za mataifa ya nje ila anafanya makusudi tu ili kuwapata wajinga wawili watatu wasioziona taarifa za nje ya nchi kinachoendelea wakati huu, pia nashangaaa wanaojiita wapinzani kulifanya jambo hili la corona kuwa siasa zao, ila hawajui athari zake zinakuja wao wanaona ni furaha 🤔
Watanzania, Zitto amesema Taifa la Tanzania mnaongozwa Kama magari mabovu ni baada ya Magufuli kutangaza Vyuo na wanafunzi wa kidato cha (6) pamoja na MICHEZO kuruhusiwa. Zitto ameibuka na kusema nchi inaendeshwa Kama gari bovu sasa nataka tuone je hizi nchi nazo zinaendeshwa kama gari bovu?
Fahamu nchi (6 ) zilifuata nyayo za Magufuli
👇👇👇
1-Serikali ya Ugiriki imetangaza kufungua mipaka kuanzia June 15 imeruhusu watalii kuingia.
2-Korea Kusini. shule kufunguliwa wanafunzi kuendelea na masomo pia imeyafungua maeneo hatarishi yaliyokuwa yamefungwa kwa miezi 3.
3-Italian ambako Taifa hilo limeathiriwa sana kwa janga hili la corona, limetangaza kufungua mipaka June 03 watu wa safiri.
4-Denmark imetangaza kuzifungua shule wanafunzi kuendelea na masomo pia imefungua maeneo hatarishi yaliyokuwa yamefungwa nchini humo.
5-Uganda, serikali imetangaza wanafunzi wa mitihani warudishwe shuleni muda wowote pamoja na kwamba nchi hiyo ipo kwa lockdown.
6-South Africa. Serikali imetangaza wanafunzi wa mitihani warudi shuleni pamoja na kwamba nchi hiyo ipo kwa lockdown inaenda miezi 2 hivi sasa.
"Hili janga la corona halitabiriki litaondoka lini kwa hivyo tunaishi nalo kama tunavyoishi na magonjwa mengine Kama UKIMWI" Mkurugenzi wa Shirika la Afya duniani 🤔
Hakuna mjanja kwa janga hili Mungu ndio tegemeo letu.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana