TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MBUNGE WA KOROGWE MJINI MH. MARY CHATANDA
UTANGULIZI
Jimbo la Korogwe Mjini linaundwa na Kata 11 ambazo ni Kata ya Manundu, Majengo, Mtonga, Masuguru, Magunga, Old Korogwe, Kwamndolwa, Kwamsisi, Kilole, Bagamoyo na Mgombezi.
Idadi ya Watu ni 68308 ambapo Wanaume (me) 32912 na Wanawake (ke) 35386, kwa sensa ya 2012 maoteo ya 2018 me 38392 na ke 41289 jumla 79681, Mitaa 22, Vijiji 07 na Vitongoji 35.
Baada ya Uchaguzi Mkuu uliomalizika Oktoba 2015, Mbunge wa Jimbo hilo, Ndugu Mary Chatanda aliapishwa rasmi na kuanza majukumu ya kuwatumikia Wananchi.
Kwa kushirikiana na Uongozi wa Chama kilichounda Serikali iliandaliwa ratiba ya kupita kuwashukuru Wananchi kwa kuwezesha Chama cha Mapinduzi kushika Dola na kuunda Serikali.
Kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi kilinadi Ilani ya Uchaguzi ambayo ndiyo iliyokubalika kwa Wananchi kwa kuahidi kuitekeleza kazi ya Mbunge huyo imekuwa ni kuhakikisha anaisimamia kwa kushirikiana na Serikali ili utekelezaji huo uweze kufanyika kwa kuzingatia Ilani, utekelezaji wake upo kama inavyoonekana kwa kila Kata. Kusoma utekelezaji huo, Tafadhali,⇛ BOFYA HAPA
Post a Comment