Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Wilaya ya Kigamboni na Diwani wa Viti Maalim Bibi Stella Masanja baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya Somangile Gezaulole.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kadi ya CCM aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha na Diwani Viti Maalum Wilaya ya Kigamboni Bibi Stella Masanja Baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya Somangile Gezaulole.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Kadi ya CCM kabla ya kumkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha na Diwani Viti Maalum Wilaya ya Kigamboni Bibi Stella Masanja Baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya Somangile Gezaulole. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya Somangile Gezaulole leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam .
Post a Comment