Wananchi wa Kijiji cha Kasekese Mkoa wa Katavi wasaidi kuzima moto uliodaiwa kuwa kuna mpangaji moja (jina tumelihifadhi) aliyekuwa akiandaa kupika chakula huku chumbani humo kukiwa na mafuta ya petroli kwa maandalizi ya kwendanayo shambani alipokuwa anatarajia kuamkia huko shambani kwake.
Katika nyumba hiyo yenye vyumba tisa vya wapangaji nyumba ya bwana Visent Emanuel ambapo chanzo cha habari kilichotufikia Juni 3, 2020, Mpangaji huyo alitoka nje kujiokoa na baada ya kutoa vyombo lakini alikumbuka ndani amesahau pesa Ndio akarudi na moto ulikua umezidi na hatimaye leo Juni 5, 2020 ameaga Dunia.
Post a Comment