Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wakimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hapo.
Post a Comment