Kikongwe wa Miaka 89 amekabidhiwa shamba la ekari moja na kiwanja cha makazi Kwa maelekezo ya Rais Magufuli baada ya kumuandikia barua na kumlalamikia eneo lake kutwaliwa na kujengwa mnada mwaka 1999.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya wamefika Kijiji cha Kimashuku na kumkabidhi Bi Hawa Juma Shila eneo hilo huku Dc akimtaka Afisa Ardhi kuanza haraka utaratibu wa kumkabidhi hati ya eneo hilo aliloonyeshwa.
Post a Comment