UFARANSA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA BILIONI. 592.6 KUGHARAMIA MRADI WA UMEME NA MAJI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Doto James na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (ADF) Stephanie Essombe, wakisaini Hati za moja ya Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha nchi za Tanzania na Zambia, Mradi wa Umeme Vijijini (REA) katika mikoa ya Tanzania Bara na Mradi wa Maji safi na Usafi wa Mazingira katika miji inayozunguka Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Anayeshuhudia katikati ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Frederic Clavier, Jijini Dar es Salaam
Post a Comment