Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii, ushiriki wa Wafanyakazi katika programu za kuisaidia jamii umeongezeka maradufu ukichangiwa zaidi na ari waliyonayo kutaka kupunguza changamoto na kero zilizopo kwenye jamii inayowazunguka na wanayoihudumia.
Benki ya NMB Kaimu Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio (kushoto) akimkabidhi vifaa vya Hospitali Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Ocean Road , Dk. Asafu Munema ikiwa ni michango ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam.
Sehemu ya vifaa vilivyotolewa na wafankazi wa Benki ya NMB kwa Hospitali ya Ocean Road.

Post a Comment